Karibu uangalie mfululizo maalum wa vipindi vinavyolenga kukujulisha kwa undani maendeleo ya miradi mikubwa ya miundombinu ya anga Zanzibar.
Hii ni awamu ya kwanza ya “program” ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Pemba.
Kupitia mfululizo huu, tutakuwa tukikuletea taarifa sahihi na za kina, hatua baada ya hatua, hadi kukamilika kwa mradi huu muhimu.




