IDADI ya Abiria wanaowasili katika viwanja vya ndege Zanzibar imeongezeka kutoka 840,599 mwaka 2020 hadi kufikia abiria 1,909,459 mwaka 2023.
Ongezeko hilo linachangiwa na ukuaji wa sekta ya Utalii pamoja na huduma bora katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume.
#AliahidiNaAnatekeleza
#nahodhawetu
#drHmwinyi
#JanaLeoNaKesho