ZIARA

Kamati ya Ardhi, Mawasiliano na Nishati ya Baraza la Wakilishi Zanzibar ilitembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (AAKIA) katika jengo la abiria la Terminal II na jengo jipya la Terminal III. Kamati hiyo imeongozwa na Mwenyekiti wake Mhe: Mohamed Ahmada Salum.
Copyright © 1953 - 2021 All rights reserved | by Zanzibar Airports Authority (ZAA)
×