KAMISHNA GENERALI WA UHAMIAJI TANZANIA ATEMBELEA JENGO LA ABIRIA TERMINAL 3
Kamishna Generali wa Uhamiaji Tanzania Dr Anna Makakala alipotembelea jengo la abiria la terminal 3 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume(AAKIA) akiambatana na Mwenyeji wake katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Ujukuzi Ndugu Amour Hamil.
Copyright © 1953 - 2021 All rights reserved | by Zanzibar Airports Authority (ZAA)
×